May 24, 2012

SHIRIKA LA NDEGE LA FLY 540

Moja kati ya ndege za Fly540 Bombardier CRJ 100ER
Wahudumu wakarimu wa Fly 540
 
Abiria wakiwa katika moja kati ya ndege za Fly540.
Shirika hili la Fly540 lilipata jina hilo kutoka kwa nauli yake ya kwanza ya kutoka Nairobi
mpaka Mombasa ambayo ilikuwa Ksh 5,540.