Mar 4, 2012

NDOTO ZANGU!

Kuendesha ndege ni ndoto kubwa sana ya mmliki wa blog hii. Amekuwa akipenda
kuendesha ndege toka akiwa mtoto,na alipopata kujua kuhusu teknolojia akatamani
kujua mengi zaidi kuhusu ndege na kushirika nanyi kila ambacho anakijua kuhusu ndege.